Ziara ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi Mkoa wa Kaskazini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi wakati wa Meneja Mkuu wa Hoteli ya Riu Palace Zanzibar Ndg.Hamad Zaied akimkabidhi Komputa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi ya Chaani Bi.Latifa Masoud Issa, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Madarasa manane mapya ya Skuli hiyo yaliojengwa na kukamilika kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwa Rais)Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini”A” akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X