Ziara ya siku Moja Na Mhe.Makamo wa kwanza wa Rais

MH Makamo wa Kwanza wa Rais amefanya Ziara ya siku moja kukagua hali ya Mazingira katika Mkoa Kaskazini, maeneo yaliyotembelewa ni Fujoni (Uhifadhi wa Mikoko na visumbe vya baharini) Donge Mchangani (uchimbaji wa mchanga) Fungu Refu (uanikaji wa Dagaa), Nungwi (mmong’onyoko wa Ardhi na soko),pia tumekagua Hoteli ya Zuri kuangalia uhifadhi mzuri wa mazingira na Kandwi eneo la kuchimbwa kifusi.

One thought on “Ziara ya siku Moja Na Mhe.Makamo wa kwanza wa Rais

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X