Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Atembelea Nyumba za Maafa Nungwi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa nyumba za Wananchi waliokumbwa na Maafa zinazojengwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
akimkumbusha Mkandarasi wa Ujenzi wa Nyumba Hizo Mhandisi Ernest Mbangula kuhakikisha Mradi huo unakamilika katika muda uliopangwa kwa mujibu wa Mkataba.
4cio1o