Zanzibar Seafood Festival

Ni heshima kubwa kukutana na Mh Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi @dr.hmwinyi kumuelezea kwa kina dhamira na Malengo yetu ya muda mfupi na muda mrefu, @zanzibarseafoodfestival tumekusudia kua ni Tamasha la Kila mwaka ambalo pamoja na mambo mengine litakua linashadihisha Maendeleo ya Elimu na Uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Kaskazini.Mh Rais ametuahidi kutusaidia kwa hali na mali kufanikisha Tamasha letu ikiwemo kua Mgeni Rasmi katika Tamasha hili litalofanyika kuanzia Tar 8 na 9 mwezi huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

X